WAFADHILI WETU NA  WASHIRIKA

WAFADHILI

Jumuiya ya uhifadhi na ulinzi wa nguva na viumbe wengine wa bahari kwa sasa inapokea ruzuku kutoka kwa

Jumuiya ya Sayansi ya Bahari Katika Magharibi ya Bahari ya Hindi (WIOMSA)

Mradi wa Hifadhi wa Nguva na Nyasi Bahari

 

WAUNGA MKONO (WASAIDIZI

Tunashukuru Dugong Lodge huko Inhasorro, Msumbiji ambao wametusaidia hasa katika mambo mahususi ya mfumo mzima wa kazi na kwa kutupatia msaada wa makaazi

Tunashukuru Fergus Kennedy kwa picha zake nzuri za chini ya bahari zenye kuvutia za nguva zilizotumika katika eneo hili. Kwa kweli tovuti yake inastahilli kutembelewa.

Shukurani pia kwa Rob Baldwin ambae alitupatia picha za nguva zilizopigwa kutoka juu angani. 

 

 

We thank Dugong Lodge in Inhasorro, Mozambique who have assisted us considerably with logistic aspects of our fieldwork and provided accommodation support.

We thank Fergus Kennedy for his stunning underwater pictures of dugongs used on this site. His website is well worth a visit! Thanks too to Rob Baldwin who provided us with aerial images of dugongs.